Job Opportunities: Updated 28th Aug 2012.
VACANCY:
If you qualify and interested apply.
2 -5 years Experience needed.
Credit Manager – Kenya Commmercial Bank
Credit Analyst – Kenya Commercial Bank
Head of Corporate Sales – Telecom
Financial controller – AAR insurance DSM
Interested candidates can send cv to abdillahi.hassan@workforceconsult.com
MF
frank joseph
July 22, 2012 at 10:55 am
Serikali ya TANZANIA ina utawara mbovu!!! sababu Mh; Rais Benjamini w. Mkapa alipoingia mkataba kuhusu uchimbaji wa gesi ya MNAZIBAY iliopo mkoani MTWARA alipitisha maswara yafuatayo—
1) Gesi itachimbwa na kubaki Mtwara na endepo mikoa mongine ikiitaji huduma ya umeme itabidi wapitishiwe kwenye Grid ya TAIFA.
2)Viwanda na vitabidi vije kujengwa kusini kwenyewe pia mitungi ya gesi itazalishwa kusini pia je yanatekelezwa haya? na kama hayastekelezwi sababu ni nini? mnataka kutunyan’ganya gesi yetu kwa lepi? hampendi maendereo yetu watu kusini.
MZALENDO
July 25, 2012 at 12:30 pm
ndugu yangu usiende mbali sana,ni kweli hamkutendewa haki kama makubaliano hayo yaliafikiwa,lakini Tanzania ni nchi moja,hivi kila mkoa ukiwa na rasilimali fulani,ikifanya hivyo tutafika? suala la zanzibar la uchimbaji wa mfuta mpaka leo latutoa jasho,kuna mikoa Tanzania ina madini mbalimbali,rasilimali mbalimbali nayo isemeje? tuangalie vizuri mwishowe tusije tukafikia kila mkoa ujitegemee kwa rasilimali zake,tutafikaaa? tusije tukafikia kuleee mbali zaidi.