RSS

Daily Archives: July 5, 2012

Ecobank Kuendelea Kuikopesha NHC Ijenge Nyumba

BENKI ya Ecobank imeahidi kuendelea kulikopesha zaidi Shirika la Nyumba la Taifa  (NHC), katika mradi wa kujenga nyumba na kukopesha ili kuhakikisha Watanzania  wengi wanapata nyumba bora na za bei nafuu.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu.


Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, James  Cantamantu-Koomson, ametoa ahadi hiyo wakati baada ya hafla  iliyoandaliwa na NHC kwa ajili ya kutiliana saini mkataba wa mkopo na taasisi  tisa za fedha juzi jijini Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo, Ecobank ilisaini kutoa mkopo wa Sh bilioni 2.1 na imeahidi  kuwa itaongeza kiasi kingine cha fedha siku zijazo ili kufanikisha mradi huo  wenye manufaa kwa wananchi.

Mkurugenzi huyo alisema Ecobank inawajali Watanzania na imeahidi kuunga mkono  kwa dhati mpango huo wa NHC ili kuwakomboa Watanzania wengi ambao hawana makazi  bora kutokana na kipato kidogo.

“Sisi Ecobank mradi kama huu si mgeni kwetu, tunajali na kuthamini sana  masuala ya makazi, karibu nchi zote 30 tunazofanya kazi zetu tunashiriki miradi  kama hii, kuwapa wananchi nyumba bora ni jambo la muhimu sana,” alisema.

Ndugu Cantamantu-Koomson alisema ingawa benki hiyo ina miaka miwili tu tangu ianze kutoa huduma zake  nchini, imejitahidi kutoa huduma zinazokidhi mahitaji ya Watanzania na kushiriki  katika shughuli mbalimbali za kijamii.

Mwishoni mwa mwaka 2011, NHC ilipewa kibali na Serikali kukopa kwenye taasisi  za fedha za ndani na nje ya nchi ili kuendeleza miradi ya ujenzi

Kwa ujumla Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limesaini mikataba ya mkopo wa Sh bilioni 165 kutoka kwa taasisi nyinginezo  tisa za fedha kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa miradi ya ujenzi wa nyumba pamoja na ununuzi wa ardhi ya akiba.

Taasisi za fedha zilizotoa  mkopo huo pamoja na kiwango walichotoa kwenye mabano ni pamoja na CRDB (Sh bilioni 35), ECO Bank (Sh bilioni 2.1), TIB (Sh bilioni 22), BancABC  (Sh bilioni 4.2), NMB (Sh bilioni 26), CBA (Sh bilioni 24), LAPF (Sh bilioni  15), Azania (Sh bilioni saba) na Shelter Afrique (Sh bilioni 23).

About these ads
 
1 Comment

Posted by on July 5, 2012 in Business News, Tanzania News

 

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

Vodacom yatumia Zaidi ya mil.120 kuboresha mawasiliano‏ Maonyesho ya Sabasaba 2012

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imesema imetumia zaidi ya Sh  milioni 120 kuboresha sekta ya mawasiliano katika Maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Kelvin Twisa – Mkuu wa masoko na mawasiliano wa Vodacom


Imesema fedha hizo zinatumika katika kuwezesha mawasiliano na machapisho  mbalimbali katika maonesho hayo.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa Tuzo ya udhamini wa  maonyesho hayo, Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin  Twissa, alisema kuwa fedha hizo zinatumika katika kuzalisha machapisho na  mawasiliano kwa vyombo vya habari katika maonesho hayo.

“Tunatambua umuhimu wa vyombo vya habari katika kutangaza Maonesho haya ya  Kimataifa ya Sabasaba kwani yanakusanya watu wengi kutoka sehemu mbalimbali na  vyombo vya habari vinao mchango mkubwa katika kutoa taarifa kwa Watanzania ndio  maana tumeamua kuwekeza kiasi hiki cha pesa katika kuhakikisha masuala yote ya  mawasiliano yanafanyika vizuri ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa katika  maonyesho haya,” alisema Kelvin .

Maonesho ya Sabasaba yanayodumu kwa siku 10, hukusanya watazamaji zaidi ya  350,000 na kutoa fursa kwa watazamaji kulinganisha ubora wa bidhaa na kufanya  ununuzi.

 
Leave a comment

Posted by on July 5, 2012 in Tanzania News

 

Tags: , , , , ,

Tanzania Yaruhusiwa Kuchimba Madini ya Urani Selous

SERIKALI imeruhusiwa kurekebisha mpaka wa Pori la Akiba la Selous ambalo ni eneo  la urithi wa dunia kwa ajili ya kuruhusu uchimbaji wa madini aina ya urani.

A Uranium Mine


Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki ameyasema hayo Dar  es Salam wakati anazungumzia kikao cha 36 kinachoendelea katika Jiji la Saint  Petersburg nchini Urusi kilichokutanisha Kamati ya Urithi wa Dunia ya Shirika la  Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO).

Balozi Kagasheki amesema katika kikao hicho, Tanzania iliwasilisha tena ombi  lake la kutaka kurekebisha mpaka wa Pori hilo la Selous ambalo lina ukubwa wa  asilimia 0.8 sawa na kilometa 200.

Balozi Kagasheki amesema kutokana na kukubaliwa ombi hilo, itakuwa ni fursa  nzuri ya kutimiza malengo ya taifa kiuchumi na kijamii kwa wananchi pamoja na  kulihifadhi eneo litakalobaki na kuliendeleza.

Pori hilo la Akiba la Selous lina ukubwa wa kilometa za mraba 50,000, na ni  mojawapo ya hifadhi kubwa duniani zenye viumbe mbalimbali.

Ni eneo maarufu kwa nyanda kubwa za tambarare zenye nyasi na misitu ya miombo  pamoja na aina nyingi za wanyamapori.

Wakati huo huo, Wizara ya Maliasili na Utalii imesema Tanzania inatarajiwa  kuwa mwenyeji wa kongamano la kimataifa juu ya utalii endelevu pamoja na kulinda  maeneo ya hifadhi ambalo litafanyika Oktoba 15 hadi 19 mkoani Arusha.

 

Tags: , , , , , , , , ,

Four Easy Certifications to Add to your Resume

It’s a competitive job market out there. If you want to make sure that hiring  managers see your resume, you have to do something to set yourself apart.  Investing in a few simple, inexpensive training courses or certifications might  be just enough to give you a leg up on the competition.

This can also help to build up your resume and set  you apart from other candidates who may not have the certifications, or who may  need a bit of additional training once hired.

1. First Aid

Every organization benefits from having first aiders on staff, and  some jobs require that all workers are certified in first aid before commencing  work. This simple certification has wide application in the workplace and in  your personal life, and only requires a small investment of cash and time.  You can inquire through TANZANIA RED CROSS SOCIETY (TRCS) and Tanzania police Fire and Rescue Department on how to acquire such training and certificates. Online  courses are also available,The online courses  typically make use of videos, reading materials and other tutorials, while those  courses taught in the classroom tend to have more of a hands-on approach which  is great for helping to understand the real-world situations you may encounter  as a first aider.
2. Microsoft Office Speciality (MOS)

For many administrative and office-related positions, being proficient in the  use of Microsoft Office products is essential. But how do you prove that you’re  proficient? Well, Microsoft offers a certification as a Microsoft Office  Specialist (MOS), which essentially tests and assesses your skill level at each  component of the MS Office suite. You can simply enroll for Classes at a variety of Computer colledges in Tanzania. I recommend Institute of Finance Management (IFM ) IT&Computing Department  and UDSM Computing Centre (UCT). Choose the part of Microsoft  Office you wish to specialize in, or you can do one at a time if you want to get  more than one specialization. If you are a Computer literate You have the option to complete the exams without taking prior courses, but  there are also online courses you can take to assist with mastering the material  and preparing for the exam.

3. Cisco Certified Network Consultant (CCNA)

There are a wealth  of certifications available in the information technology (IT) field. Among  these is the Cisco Certified Network Consultant (CCNA) designation which is  offered by Cisco Systems. The CCNA certifies that holders are competent in the  installation of various network devices and cables. Though the CCNA designation  technically only requires successful completion of an exam,  many choose to  complete a training course before writing the exam. These training courses may  be a bit expensive in most cases, though actually a much  smaller investment than paying college or university tuition, and they can be  completed in a fraction of the time. Keep in mind that there are also online  courses which cost much less than the classroom-type training courses that you  can take. The computer-based CCNA examination costs $125 to write, and must be  organized through Cisco.

4.  Language  Certifications

Language certifications come in essentially two  forms: certifications for those that want to teach a language or for non-native  speakers who want to prove that they have acquired a sufficient level of  communication mastery to succeed in the workplace. Among the certifications  available for those who want to teach English as a second language, TESOL, TEFL  or TESL are some of the more common programs. These programs are great for those  who wish to go overseas to teach English, or even for those who wish to work  with newcomers to help them master the English language before heading out into  the workplace.

For those wishing to complete an English  as a second language (ESL) program, these are greatly beneficial to those who  have moved to an English-speaking nation and need to show potential employers  that their communication skills meet the standards in reading, writing, speaking  and comprehension. The cost of an ESL course can vary greatly depending upon the  duration of the course and where you choose to study. A variety of  post-secondary institutions and community colleges offer these programs. Keep in  mind that many of these courses tend to cost quite a bit – perhaps even a few  thousand dollars if you go through a recognized college or university – but the  strength it’ll add to your employability could be priceless
If you already have English language certification, try learn other new Language like French. Biliteracy offers potential occupational benefits. In a globalized world, bilinguals can get excellent career opportunities in retail sector, transport, tourism, administration, secretarial work, public relations, marketing and sales, banking and accountancy, translation, law and teaching.
 
4 Comments

Posted by on July 5, 2012 in Articles, General Knowledge

 

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

 
Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

Join 3,835 other followers

%d bloggers like this: